Tuesday, August 20, 2013

MWANAMKE MLA NYAMA ZA WA2

TAHADHARI:PICHA ZA KUTISHA!!
Polisi wamemkamata mwanamke anayekula na kuhifadhi nyama za watu kwenye friji lake,angalia picha chini!!!


Hii dunia ina masimulizi mengi, sijui hili niianzie wapi kwa kweli.....




Picha ya juu ni mwanamke wa kifilipino mwenye umri wa miaka 29 ambaye amekamatwa na polisi kwa kula na kuhifadhi VIUNGO VYA BINADAMU kwenye friji...



Mwanamke huyu ameua na kula zaidi ya wasichana 30 na watu wengine wengi pamoja na mume wake na kuweka nyama zao kwenye friji amekuwa akila nyama za watu kwa muda mrefu sana.

Mwanamke huyu mla nyama za watu,alisema alikuwa anaandaa party (sherehe) nyingi kwa ajili ya marafiki zake na ndugu ambao aliwapikia na kuwalisha nyama za watu bila wao kujua. Wageni wake walimsifia kuwa chakula chake kitamu.




Mwanamke huyo alisema amewala watu hao kutokana kwa kupenda mwenyewe na kama atapewa nafasi nyingine atarudia tendo hilo tena bila kuingiliwa.

Hata alipofika gerezani ,alimvamia askari wa kike akamng'ata mkono wa kulia na kumeza kidole kimoja cha askari huyo..!!


Saturday, August 17, 2013

USO KWA USO KIKWETE NA JOYCE BANDA

Hotuba ya Rais Joyce Banda wakati anafungua Mkutano hii hapa:
http://www.scribd.com/doc/160844498/...ficial-Opening

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania akilakiwa na Rais Joyce Banda wa Malawi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimatafifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC










President Kikwete arrives in Malawi to attend the 33rd Heads of State and Government SADC Summit






H.E. Joyce Banda, President of the Republic of Malawi awaits the arrival of H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania late this afternoon at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi.


Tanzania and Malawi Government Officials awaiting the arrival of President Kikwete. Right is Ambassador Patrick Tsere, High Commissioner of the United Republic of Tanzania in Malawi, Hon. Dr. William Augustao Mgimwa (MP) (3rd right), Minister for Finance and Ambassador Flossie Gomile-Chidyaonga (2nd left), High Commissioner of Malawi in Tanzania.





President Kikwete descending the stairs upon his arrival at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi late this afternoon. President Kikwete is in Malawi ready to attend the 33rd Heads of State and Government SADC Summit to be held at the Bingu International Conference Centre.



President Joyce Banda of Malawi welcomes her counterpart, President Jakaya Kikwete of Tanzania.



President Kikwete listens to a young boy whispering "when I grow up, I want to be a President just like you", just upon his arrival late this afternoon in Lilongwe, Malawi.



President Kikwete impressively gives a young boy a present, while President Joyce Banda of Malawi witnesses the special moment.



The Presidents share a light moment as they walk towards the Guard of Honor.




H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete inspects the Guard of Honor upon his arrival at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi.



President Jakaya Kikwete of Tanzania and his counterpart President Joyce Banda of Malawi observing National Anthems of both countries.



President Kikwete addresses members of media who had surrounded him to inquiry about his expectation towards the 33rd Heads of State and Government SADC Summit scheduled to convene on the 17th to 18th of August, 2013.



Some women who have gathered to perform traditional dancing were also in hand to welcome President Kikwete.



More of traditional entertainments.



A group photo of Hon. Dr. William Augustao Mgimwa (MP) (left), Minister for Finance, Hon. Ephraim Chiume (MP) (center), Minister for Foreign Affairs in Malawi and Ambassador Patrick Tsere, High Commissioner of the United Republic of Tanzania in Malawi.



Hon. Chiume and Ambassador Tsere share some few laughters.




Hon. Bernard K. Membe (MP) (fourth left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation in a discussion with Tanzania delegation. In the photo are Ambassador Radhia Msuya (left), High Commissioner of Tanzania in South Africa, Ambassador Adadi Rajab (2nd left), High Commissioner of Tanzania in Zimbabwe and Ambassador Rajabu Gamaha (3rd left), Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation. Also in the photo is Ambassador Patrick Tsere (3rd right), High Commissioner of Tanzania in Malawi and two Senior Advisors to President Kikwete.




Hon. Membe discusses something with Ambassador Tsere, while Ambassador Rajabu Gamaha (left), and Dr. Laurean Ndumbaro, Political Advisor to President Kikwete listen.

Friday, August 16, 2013

ORODHA YA MAJINA YA WAUZA UNGA TANZANIA

MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA LEO CHINA




Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha mashine.

Dawa hizo aina ya heroin zilikamatwa katika nyakati mbili tofauti kwa jumla zikiwa na kilo 1.5 na thamani ya dola milioni 1.3 za Marekani.

Maafisa hao wanasema kwa kuwa wamekuwa wakifuatilia kwa karibu nyendo za wauza dawa na mbinu za kuficha dawa hizo, walilazimika kukikata chuma cha mashine hiyo ili kuziona.

Adhabu ya kupatikana na dawa za kulevya huko Hong Kong ni faini ya dola milioni 5 za Kimarekani.

Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali ya nchi hiyo na picha zinazoambatana na taarifa hiyo vimepachikwa hapo chini.




Saturday, August 3, 2013

TANZANIA INAUZWA JAMAN

Default Mdau mmoja kanitupia siri hii

Ndg yangu nchi hìi ilishauzwa! Kama hauamin amin kuanzia leo. Kuna jamaa anaitwa kanesa mjomba wake kikwete alimuuzia mhindi acre elf 41 maeneo ya kibiti- ngulakula barabara ya kwenda mbuga ya selui. Je kuna mtz mwenye eneo kiasi hcho! Nilikuwa nafanya kaz pale kama agronomist lakin nimekimbia coz jamaa pamoja na kufnga mkataba kuwa inatakiwa azalishe chakula ila hana mpango wa kilimo yeye anavuna mbao na mkaa2 huku akiacha jangwa masikini ya mungu wananch wa mazingra yale hata hawajitambui ukiwashauri kwanza ndio wanakuona unawazibia rizki. Mhindi hyo pamoja na kuwa na acre kiasi hcho ana tractor mbili na majembe matatu tu yaan rotarvator moja, plough disk lenye majembe mawili tu, na harrow disk moja tu ila kilichoniumiza mpaka nimemkimbia et eneo la acre elfu tatu anafanya land preparation kwa kutoa visiki kwa kuumiza watu yaan casual labour eti ana minimize cost. Nilifanikiwa kuona mkataba wake ulioko kwa mtendaji wa kijiji kile inasikitisha sana. Plz kama ukitaka maelezo zaid kuhusiana na unyanyasaji huu plz find me ntakupa full details ikiwezeka makamanda wangu mkataba ule uchungzwe. Pia nimesahau eneo lile ni karibu na mbuga sio wanyama wanapotea mazingra yale jaman tz tunapelekwa wapi! Nilisha wahi kumwandikia maelekezo kama haya mh. Zito na mnyika kwenye fb ila sijaona response. Plz mkuu ukiiweka waz hide my name.