Ndg yangu nchi hìi ilishauzwa! Kama hauamin amin kuanzia leo. Kuna jamaa anaitwa kanesa mjomba wake kikwete alimuuzia mhindi acre elf 41 maeneo ya kibiti- ngulakula barabara ya kwenda mbuga ya selui. Je kuna mtz mwenye eneo kiasi hcho! Nilikuwa nafanya kaz pale kama agronomist lakin nimekimbia coz jamaa pamoja na kufnga mkataba kuwa inatakiwa azalishe chakula ila hana mpango wa kilimo yeye anavuna mbao na mkaa2 huku akiacha jangwa masikini ya mungu wananch wa mazingra yale hata hawajitambui ukiwashauri kwanza ndio wanakuona unawazibia rizki. Mhindi hyo pamoja na kuwa na acre kiasi hcho ana tractor mbili na majembe matatu tu yaan rotarvator moja, plough disk lenye majembe mawili tu, na harrow disk moja tu ila kilichoniumiza mpaka nimemkimbia et eneo la acre elfu tatu anafanya land preparation kwa kutoa visiki kwa kuumiza watu yaan casual labour eti ana minimize cost. Nilifanikiwa kuona mkataba wake ulioko kwa mtendaji wa kijiji kile inasikitisha sana. Plz kama ukitaka maelezo zaid kuhusiana na unyanyasaji huu plz find me ntakupa full details ikiwezeka makamanda wangu mkataba ule uchungzwe. Pia nimesahau eneo lile ni karibu na mbuga sio wanyama wanapotea mazingra yale jaman tz tunapelekwa wapi! Nilisha wahi kumwandikia maelekezo kama haya mh. Zito na mnyika kwenye fb ila sijaona response. Plz mkuu ukiiweka waz hide my name.